A Anonymous Guest Apr 23, 2026 #1 Mimi ni Mtumishi nipo Kada ya Afya Mkoani Tabora, nimeajiriwa tangu Mwaka 2024, changamoto ipo Kada ya Ualimu na Afya intake moja Barua za uthibitisho imekuwa kero lakini mikoa mingine walishapata hatujui kwa Tabora changamoto ni ipi.
Mimi ni Mtumishi nipo Kada ya Afya Mkoani Tabora, nimeajiriwa tangu Mwaka 2024, changamoto ipo Kada ya Ualimu na Afya intake moja Barua za uthibitisho imekuwa kero lakini mikoa mingine walishapata hatujui kwa Tabora changamoto ni ipi.