wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 285
Unataka kutuaminisha nini sasa?
wakyagara wakinyora ni muuza sembe. is it so difficult to say that?
Hizi barua ni uzushi mtupu.
Source: https://v2ca.wordpress.com/2013/08/08/comments-on-articles-in-tanzania-2013-file/Letter is 100% genuine, like the previous letters. And theres more to come. I am a Catholic priest, a prison chaplain. I visit Hong Kong prisons almost every day and often see the Tanzanian inmates. They are deeply upset that they will not see theiir families for many long years and that their families are suffering because of their imprisonment. I am trying to help others avoid the same fate .as well as trying to help protect Hong Kong society from drugs. I also visit local drug addicts in prison .the other side of the coin .and I see the severe damage that has been done to their minds and bodies. This is a totally lose-lose situation and must be stopped
Namkumbuka Sana Seba Enzi zile Sekondari.. Ingawa Mathe ilikuwa mzigo mzito sana kwake, lakini mwanangu mwenyewe akiandaka mwandiko wake supper, jamaa alikuwa anaremba mwandiko wengine tunaandika "a" Za kitumbomkia lakini yeye anakucharangia "a" ya kinyoka kama mashine vile..! Mtoto alikuwa nuksi Yule ..!
Namkumbuka Sana Seba Enzi zile Sekondari.. Ingawa Mathe ilikuwa mzigo mzito sana kwake, lakini mwanangu mwenyewe akiandaka mwandiko wake supper, jamaa alikuwa anaremba mwandiko wengine tunaandika "a" Za kitumbomkia lakini yeye anakucharangia "a" ya kinyoka kama mashine vile..! Mtoto alikuwa nuksi Yule ..!
Wewe kweli mwalimu wako alipata shida sana wakati unasoma, kukosea kuandika tarehe ni jambo la kawaida, then akarekebisha hapo hapo. You are too suspicious, haya sasa tueleze ukweli ni upi? Kukanusha kuwa barua hiyo ya uongo bila kueleza ukweli unajiaibisha, hasa ikizingatiwa kuwa PUNDA mwingine kakamatwa jana, labda utuambie kuwa wanasingizia utanzania wakati sio watanzaniaBAK of all the people!! Nilijua utakua wa mwisho kuamini hii barua look at the date on the top. then angalia tarehe chini mwisho
Thibitisha kwamba huo ni uzushi. Au kwa kuwa katajwa Riz1 ndio povu linawatoka? Hebu niambie katika majina yote yaliyotajwa ni lipi ni jipya? Mbona wote wanajulikana tu. Msitake kutetea wauaji wa vijana wetu.
Tiba
Too low.... what is wrong with 09. 08. 2013 and 09/08/2013....!?BAK of all the people!! Nilijua utakua wa mwisho kuamini hii barua look at the date on the top. then angalia tarehe chini mwisho
Let's wait and see.i agree with you, hii ni michezo ya kijinga kabisa, unaweza kuona baadhi ya majina na matukio yaliyoandikwa ni ya kuunganisha na kutengeneza hadithi yenye mtiririko.
Hizi barua ni uzushi mtupu.