Barua za uwongo za wafungwa wa Hong Kong

Barua za uwongo za wafungwa wa Hong Kong

2013-08-13inmate-letter04.jpg

2013-08-13inmate-letter05.jpg

2013-08-13inmate-letter06.jpg
Safari ni safari Thanks for this
 
Last edited by a moderator:
Hizi barua ni uzushi mtupu.

Letter is 100% genuine, like the previous letters. And there’s more to come. I am a Catholic priest, a prison chaplain. I visit Hong Kong prisons almost every day and often see the Tanzanian inmates. They are deeply upset that they will not see theiir families for many long years and that their families are suffering because of their imprisonment. I am trying to help others avoid the same fate ….as well as trying to help protect Hong Kong society from drugs. I also visit local drug addicts in prison ….the other side of the coin ….and I see the severe damage that has been done to their minds and bodies. This is a totally lose-lose situation and must be stopped
Source: https://v2ca.wordpress.com/2013/08/08/comments-on-articles-in-tanzania-2013-file/
 
Msome Mkuu Dingswayo ndio utanielewa vizuri vivian. Kuandika barua kila mtu anaweza kuandika barua ya uwongo, lakini facts tulizonazo kuhusu Watanzania kujihusisha na biashara ya kulevya katika nchi mbali mbali duniani kamwe haziwezi kupikwa.

Aha roogger that!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Vivian,
Kwani hii barua umeipata wapi?
 
Namkumbuka Sana Seba Enzi zile Sekondari.. Ingawa Mathe ilikuwa mzigo mzito sana kwake, lakini mwanangu mwenyewe akiandaka mwandiko wake supper, jamaa alikuwa anaremba mwandiko wengine tunaandika "a" Za kitumbomkia lakini yeye anakucharangia "a" ya kinyoka kama mashine vile..! Mtoto alikuwa nuksi Yule ..!
 
Namkumbuka Sana Seba Enzi zile Sekondari.. Ingawa Mathe ilikuwa mzigo mzito sana kwake, lakini mwanangu mwenyewe akiandaka mwandiko wake supper, jamaa alikuwa anaremba mwandiko wengine tunaandika "a" Za kitumbomkia lakini yeye anakucharangia "a" ya kinyoka kama mashine vile..! Mtoto alikuwa nuksi Yule ..!

Seba gani huyo? Kinyondo?
 
BAK of all the people!! Nilijua utakua wa mwisho kuamini hii barua look at the date on the top. then angalia tarehe chini mwisho
Wewe kweli mwalimu wako alipata shida sana wakati unasoma, kukosea kuandika tarehe ni jambo la kawaida, then akarekebisha hapo hapo. You are too suspicious, haya sasa tueleze ukweli ni upi? Kukanusha kuwa barua hiyo ya uongo bila kueleza ukweli unajiaibisha, hasa ikizingatiwa kuwa PUNDA mwingine kakamatwa jana, labda utuambie kuwa wanasingizia utanzania wakati sio watanzania
 
Thibitisha kwamba huo ni uzushi. Au kwa kuwa katajwa Riz1 ndio povu linawatoka? Hebu niambie katika majina yote yaliyotajwa ni lipi ni jipya? Mbona wote wanajulikana tu. Msitake kutetea wauaji wa vijana wetu.

Tiba

Mara nyingi unaothibitishwa ni ukweli... thibitisha weye kama kweli hiyo barua imetoka huko jela
 
Barua bila majina ni ujinga tu bora waendelee kukaa huko huko jela
 
We are sitting in a big problem...na hawa wapiga kelele wakubwa ndio maarifui wa biashara yenyewe wakiamini wamejificha hawataonekana. Time will tell.,....
 
BAK of all the people!! Nilijua utakua wa mwisho kuamini hii barua look at the date on the top. then angalia tarehe chini mwisho
Too low.... what is wrong with 09. 08. 2013 and 09/08/2013....!?

Mimi nilidhani content ndiyo ina shida...kumbe unazunguka na typology...Lazima tuwabane kwenye kona...hata kama mtatuuma.
 
i agree with you, hii ni michezo ya kijinga kabisa, unaweza kuona baadhi ya majina na matukio yaliyoandikwa ni ya kuunganisha na kutengeneza hadithi yenye mtiririko.
Let's wait and see.
Manake mnakumbuka hata EPA ilianzia kimzahamzaha humuhumu JF, kwa wale mliokuwa mnaifuatilia JF miaka ileeeee ya 2006-2007 nadhani mtakuwa mnakumbuka
 
Kwa wale wote ambao mmeshawahi kuishi China au kuendesha shughuli zenu China mtakubaliana nami kuwa hayo makaratasi yaliyotumika kuandikia hizo nyaraka si mageni machoni penu...
Haijalishi makosa ya tarehe lakini aina hiyo ya makaratasi ni maarufu sana kwenye stationaries huko China...
 
Hizi barua ni uzushi mtupu.

Hapana ina ukweli ndani yake. Unamfahamu Mtama Mchungu? Namjua huyu mzee aliwekwa ndani kwa muda mrefu sana kwa ishu za dawa kulevya yeye pamoja na msaidizi wake wa karibu anaitwa Cheusi.
Ila kwa sasa wote wameshatoka na siku ya pili tu baada ya kutoka wakanunua magari mapya na biashara bado zinaendelea, barua ya kwanza na hii ya pili inaonesha zimeandikwa na mtu anayewajua vizuri sana wauza unga wa Magomeni, kwani wote waliotajwa katika barua zote mbili wanahusika.
 
Back
Top Bottom