Barua za uwongo za wafungwa wa Hong Kong

Mwandishi wa barua anajua madhara ya kile alichokuwa anakifanya mpaka woga unamfanya abadilishe mwandiko kwa kutambua kuwa kuna wataalamu wa Forensic Handwriting Identification.

Watu kama hawa wanaoleta mizaha kwenye mambo ambayo ni serious ndiyo kikwazo katika jamii.

Barua kama hizi zinazifanya hata barua, memo na name and shame technic ambazo ni legid zionekane kwa kiasi kikubwa katika macho ya watu wengi nazo ni kaput.

Kinachoishangaza ni pale mfungwa wa maisha, muda mrefu au anayesubiri kunyongwa anasita hata kuweka jina lake kamili lakini anakuwa na furaha kutaja jina la mtu mwingine. Kama ni kweli, basi huu ni unafiki wa kiwango cha juu kutaka kutuaminisha kama wanachokisema na kuwaonya Watanzania wengine kweli kinatoka ndani ya mionyo yao.
 
Mbona vijana wa ccm wanasenma ni uongo...why....? na zinazokamatwa ni ...unga wa muogo sio...?
 
hizi habari wakati mwingine wasiwe wanazipost! maana utakuata maneno "papa" "punda" "Nyangumi" "Vigogo" kwanini mwatuchoshaaa??? kwani hawana majina?? kama ni JK anahusika mwaficha iliiwejee?? Tazama sasa hao wanajitadi kuandika hizo barua pia wanaishia tu kusema "papa" "punda" "Nyangumi" "Vigogo" inamaana hawawajui?? mtu umefungwa alafu wakosa ujasiri wa kusema majina au hizo barua zinahaririwa kwanza???
Sehemu ya mwisho wa barua yake yanifanya kutoiamini hi barua sasa ....rais tunaomba uyataje hadharani hayo majina 100 ya papa...... ili iweje sasa kama unawajua unasubiri nini kuwataja hata kama wanalindana na serikali...wataazibiwa na JAMIII wanaopoteza watoto/vijana
so whaaat..mtu umetiwa ndani still waogopa sijui yanaogopa nini sasa..hayo majituuu aaaghaa...KAA KIMYAA SASA PUMBAVUUUUUUUUU inatia hasira...sana. Hata yule wa mwanzo ati akang'ata kutaja majina ya mawaziri ati kisa anaona aibuu sijui watamn'goa meno na kucha...nini sasa kama mzee wa "wacha wapigwe tuu" si wamtajaa PETER nini shidaaa????!!! au kama vipi iwe ruksa tu kama Uholanzi kama mbwai mbwai tu sasa...kisha mwaweka onyo kama tumbaku vile, akili ibakia kumkichwa!
 
Hizo karatasi za madaftari ya Sungura yale niliyotumia nikiwa darasa la pili
 
Ni mchezo wa Siasa tu, wanaharibiana majina wao kwa wao kwa kuzusha kwa barua feki, hapo jamaa kupata kura round ijayo itakua ni mziki maana wajinga tayari washaamini kua washkaji wanajihusisha na madawa, ni kwa kua watu mioyoni mwao washaweka kua hawa jamaa wako wrong siku zote, hata wakiprove kua walisingiziwa watu bado watasema ni plot kuficha maovu yao, wabongo bna, kua na society with a large percentage of illeterate people hata waliomaliza vyuo lakini wanapelekwa ovyoovyo its quite a big problem.. Tutasolve vipi tatizo hili? We need to start building up from below, huku juu kushaharibika
 
Thibitisha kwamba huo ni uzushi. Au kwa kuwa katajwa Riz1 ndio povu linawatoka? Hebu niambie katika majina yote yaliyotajwa ni lipi ni jipya? Mbona wote wanajulikana tu. Msitake kutetea wauaji wa vijana wetu.

Tiba

NIMEIPENA COMMENTS YAKO. Watu wanataka watuaminishe kwamba majina na habari zinazotolewa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii juu ya BIASHARA YA KUUZA NA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA kuwa ni UONGO. Kama wanaoandika majina au kutoa habari za uongo mbona vyombo vya nje vinawataja? Inamaana na hayo mataifa ya nje nao ni wazushi!???. Mmezoea kuendesha nchi kiongo ongo na mizaha. Mataifa ya nje yatawaumbua tu. Well done South Africa and China any other in pipeline, keep it up! Kwa vile Tanzania majina ya wauza na wasifirishaji madawa wanayo na wanawafahamu lakini hawataki kuchukua hatua kwa sababu nao ni sehemu ya miradi hiyo, mataifa ya nje yaendelee kutoa hadharani majina ya wale wote wanao kamatwa! Nampongeza Mwakyembe kwa kuanza kujaribu kukamata watu hatari eti wa kuyumbisha Nchi. Pinda aliwahi kusema Wauza madawa ni watu hatari na wanaweza kuyumbisha nchi kama wakitajwa au kukamatwa. Yawezekana hatukujua ana maana gani. Anayeweza kuyumbisha nchi ni yeye mwenyewe na wakubwa zake (Makamu wa Rais na Rais), kwa hiyo yawezekana hao nao wamo katika list yao. Swali kwa Waziri Mkuu wa Tanzania mwajiliwa wa Watanzania ndg Pinda, katika Tanzania hii na sheria zake nani yuko juu ya sheria? Kama yupo amabaye yuko juu ya sheria je yeye anastahili kuendelea kukaa kwenye kiti ambacho aliapa kutii na kulinda sheria za nchi ikiwemo Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
 
Umekuja na madai. Prove it, beyond reasonable doubt, kwamba ni HOAX! La sivyo na wewe mwenyewe vivian ni HOAX!
 
Last edited by a moderator:


Na hii hapa...



Hawa waliotajwa

Ali Shikuba
Mfaume Kiboko
Ahmad Horohoro
Hussein Mwarabu
Kassim Aurora
Omari Sanga
Manganja
Gatuso

Wengine ni Bakari Nambaya na Shabani wa Kinondoni Mtambani.

Kwenye masuala hatari kama haya, watu wanaoshukiwa wanapaswa kuchunguzwa na kufuatiliwa, na ikithibitika wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake...
 
Tena yule anayezipost hizo barua sasa hivi yuko Tanzania. Kwa nini wahusika wasitumie fursa hii kujiridhisha kama anatuma barua fake au la? Kama amekutana na relatives wa hao wafungwa, je na hao relatives ni fake? Kwa nini Nzowa asijiridhishe kuwa ni sawa au fake?

My take:
Hakuna utashi wa dhati wa kupambana na madawa ya kulevya.
 
wewe .. vivian falaaa kweli wewe hujui ulisemalo na unaonekanaa hujui chochote kuhusu biadhara hii na mazingira yake....mimi tu hapa nawafahamu watu kama watano wamefungwa huko china jela zaidi ys miaka 15
wewe kilaza unakuja kusema barua hiyo ni ya uongo
ungejua watanzania walivyofungwa brazil, china, ulaya, pakistan na iran usingeandikaaaa utumbo huo kilazaaaa mkubwa wewe
 
Last edited by a moderator:
mbona shukuba kakamatwa na yuko ndani mpaka sahvi huko mtwara na ameunganishwa ktk kesi ya othman aliyekuwa na mtoto wa liyumba......hiyo list yote ni kweli wauza ngada na haikwepi
 
Japo ni barua ya muda mrefu kidogo uliopita lakini ina ukweli ndani yake,
Mwandiko wenyewe ni mtu anayeelewa/msomi.

Jirani yangu muuza unga ameiacha familia amefungwa maisha huko ughaibuni;

Vijana tuliozaa wanaangamia kwa kula huu unga.

Unga ni kilio kila mahali.
 
mrangi uko sawa sana cause vivian anaongea vitu ambavyo havijui hizo barua ni za kweli all over watanzania walikokamatwa sababu ya unga huwa wana andika hzo barua na kutaja majina ya wahusika na waliowatuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…