Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,503
Mwandishi wa barua anajua madhara ya kile alichokuwa anakifanya mpaka woga unamfanya abadilishe mwandiko kwa kutambua kuwa kuna wataalamu wa Forensic Handwriting Identification.
Watu kama hawa wanaoleta mizaha kwenye mambo ambayo ni serious ndiyo kikwazo katika jamii.
Barua kama hizi zinazifanya hata barua, memo na name and shame technic ambazo ni legid zionekane kwa kiasi kikubwa katika macho ya watu wengi nazo ni kaput.
Kinachoishangaza ni pale mfungwa wa maisha, muda mrefu au anayesubiri kunyongwa anasita hata kuweka jina lake kamili lakini anakuwa na furaha kutaja jina la mtu mwingine. Kama ni kweli, basi huu ni unafiki wa kiwango cha juu kutaka kutuaminisha kama wanachokisema na kuwaonya Watanzania wengine kweli kinatoka ndani ya mionyo yao.