Ahsante sana Mkuu Dingswayo naona juhudi zimeshaanza za kutaka kupotosha kuhusu hii habari ya Watanzania kujihusisha na madawa ya kulevya kiasi cha kuiangusha heshima ya nchi katika Jumuiya ya Kimataifa.
Kwa nini habari hizi za zamani zinafufuliwa?
No, seriously,Kuna sababu Gani ya mtu kufufua habari,"Leo Magufuli amemtumbua waziri Fulani?"
Mimi,I am living on the streets. Mimi sijaliona tatizo la madawa ya kulevya.