Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana Mkuu Dingswayo naona juhudi zimeshaanza za kutaka kupotosha kuhusu hii habari ya Watanzania kujihusisha na madawa ya kulevya kiasi cha kuiangusha heshima ya nchi katika Jumuiya ya Kimataifa.
Kwa nini habari hizi za zamani zinafufuliwa?lisemwalo lipo,kwanini kila siku wanatajwa hao hao.