Baadhi ya watia niya katika jimbo la kigoma mjini kutoka kushoto ni mwandishi wa habari Nguli Baruani Muhuza,Dr.Maulidi Kikondo na Mr.John wakiwa katika picha ya pamoja wamekusudia kumng'oa Mbunge wa jimbo hilo Mheshimiwa Ngenda Shaban Kirumbe.
Kuna chuma ambacho kinapigiwa chapuo na wanazuoni wengi ila naona wengi wenu hamkitilii maanani.
Wasomi wakubwa kama Intelligent businessman wanampigia chapuo Baba Levocatus kutwaa ubunge wa jimbo hilo kuanzia kwenye kura za maoni mpaka uchaguzi mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.