BAS UTEREIJK: Fundi wa picha aliyetengeza picha ya Yesu na Pharaoh

Aaah! Hapo sawa
 
Mpiga picha huyo wa Uholanzi bwana Bas Uterwijk ametoa mfululizo wa picha za watu maarufu, pamoja na Yesu Kristo pia, kama kawaida akitumia akili na programm bandia.
Mkuu program ya bandia ulikua unamaanisha nini?
 
Mkuu program ya bandia ulikua unamaanisha nini?
Kuna siku nilapata kutazama bunge, nikabahatika kumshuhudia mbunge
mwanamke simkumbiki jina vizuri alivyopata shida kupata tafsiri ya Artificial intelligence...akaishia kusema bandia😂😂😂

Nami pia nikakosa kiswahili fasaha cha program hii ambayo ni artificial
 
Hiyo ya Jesus jamaa aliijuaje
Chanzo kikubwa ni The Shroud of Turin, ambayo wanadai ilikuwa ni sanda ambayo alifungwa baada ya kutoka kusulubiwa. Damu za alama za majeraha zilibaki pale na Wakristo wengi waliamini kwamba ni sura ya Yesu, japo wengine hupinga kabisa. Walienda hadi mbali na kupima DNA kwenye kile kitambaa na kupata matokeo.
 
DNA ilileta matokeo gani mkuu?
 
Sahihii mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…