BAS UTEREIJK: Fundi wa picha aliyetengeza picha ya Yesu na Pharaoh

BAS UTEREIJK: Fundi wa picha aliyetengeza picha ya Yesu na Pharaoh

Kwa kuhusu picha ya Bwana yesu jamaa alitoa tofauti tofauti kama tatu hivi

na kutoka kwa Teller Report‘s ambao walitafsiri makala moja ya Uterwijk kuhusu picha za yesu

Jamaa anasema

“For one of the images, I added a little historical truth,” anaeleza “In one of the three versions, Jesus has shorter hair because historians do not believe that at that time, in the region of Galilee, in Israel, a man could have had hair so long.” …

“Sometimes I try to be as realistic as possible and sometimes I try to give a representation of how we perceive a character in history,”

Alimalizia hivyo Bas utewrjk
Aaah! Hapo sawa
 
Mpiga picha huyo wa Uholanzi bwana Bas Uterwijk ametoa mfululizo wa picha za watu maarufu, pamoja na Yesu Kristo pia, kama kawaida akitumia akili na programm bandia.
Mkuu program ya bandia ulikua unamaanisha nini?
 
Mkuu program ya bandia ulikua unamaanisha nini?
Kuna siku nilapata kutazama bunge, nikabahatika kumshuhudia mbunge
mwanamke simkumbiki jina vizuri alivyopata shida kupata tafsiri ya Artificial intelligence...akaishia kusema bandia😂😂😂

Nami pia nikakosa kiswahili fasaha cha program hii ambayo ni artificial
 
Hiyo ya Jesus jamaa aliijuaje
Chanzo kikubwa ni The Shroud of Turin, ambayo wanadai ilikuwa ni sanda ambayo alifungwa baada ya kutoka kusulubiwa. Damu za alama za majeraha zilibaki pale na Wakristo wengi waliamini kwamba ni sura ya Yesu, japo wengine hupinga kabisa. Walienda hadi mbali na kupima DNA kwenye kile kitambaa na kupata matokeo.
 
Chanzo kikubwa ni The Shroud of Turin, ambayo wanadai ilikuwa ni sanda ambayo alifungwwa baada ya kutoka kusulubiwa. Damu za alama za majeraha zilibaki pale na Wakristo wengi waliamini kwamba ni sura ya Yesu, japo wengine hupinga kabisa. Walienda hadi mbali na kupima DNA kwenye kile kitambaa na kupata matokeo.
DNA ilileta matokeo gani mkuu?
 
Chanzo kikubwa ni The Shroud of Turin, ambayo wanadai ilikuwa ni sanda ambayo alifungwa baada ya kutoka kusulubiwa. Damu za alama za majeraha zilibaki pale na Wakristo wengi waliamini kwamba ni sura ya Yesu, japo wengine hupinga kabisa. Walienda hadi mbali na kupima DNA kwenye kile kitambaa na kupata matokeo.
Sahihii mkuu
 
Back
Top Bottom