BAS UTEREIJK: Fundi wa picha aliyetengeza picha ya Yesu na Pharaoh

Hakuna anayefahamu picha ya Yesu.... Hyo ni michoro Tu kama michoro mingine ya kubuni
 

🀣 🀣 Nadhani ni programu yenye utashi wa bandia
 
vip mkuu daVinci XV hajatupia na picha ya cleopatra na yusuph watu waliosadikika kuwa wenye mvuto zaidi duniani kwa zama zao zile
 
Mafarao w Misri walikua warembo tu, ila uyo maamba Cesar anasura ya kuuwa uwa hivi.
 
Picha ya yule wa upande ule mbona haipo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…