Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kama ni SANAA basi natamani kipindi kile cha Ambaruti na yule Dogo wangeweka ka-screenshot ka lile tukio lenyewe!Kweli ni ujinga...
Ama kwa kuwa ni baraza la sanaa ndio wamejiongeza!
Kigongo - Busisi
Hahahaha Naibu Katibu Mkuu ana elimu gani? Natamani kujua profile yakePengine hiyo barua imeandikwa na Wasafi chini ya Usimamizi wa Baba Levo halafu Kaimu Katibu wa Baraza yeye katakiwa kusaini tu iende hewani
Hahahaha Naibu Katibu Mkuu ana elimu gani? Natamani kujua profile yake
Daaah kwamba naibu amedanya endorsement tu๐๐๐Pengine hiyo barua imeandikwa na Wasafi chini ya Usimamizi wa Baba Levo halafu Kaimu Katibu wa Baraza yeye katakiwa kusaini tu iende hewani
Watu mnajua kuzoom dah
Wameonyesha sanaa ya kunakili na kubandika picha kwenye baruaKweli ni ujinga...
Ama kwa kuwa ni baraza la sanaa ndio wamejiongeza!
Nitaanza kukuonea wivu wewe binti! Huu utoto wenu mnaharibu mambo ya msingiWivu!
Yote haya ni wivu!..
Inakuwaje kijana kabisa wa kiume unamuonea wivu mwanaume mwenzio?
Ana Master ya financeHahahaha Naibu Katibu Mkuu ana elimu gani? Natamani kujua profile yake