BASATA: Diamond amestahili kukabidhiwa bendera ya Taifa kwa ajili ya show ya ufunguzi wa AFCON 2017

Hivi nyie nani kawaroga kwa hiyo bendera ni kwaajili ya wacheza mpira pekee au

Muelewe akiboronha pale katika uzinduzi itakua ngumu kwa mtanzania yeyote kupata nafasi ya kuperfom kwenye issue kama zile

Akifanya vizuri basi watanzania watakua n chance kubwa ya kupata fursa ya kuperfom pia

Achenk majungu acha dogo akawakilishe nchi japo kwa dakika chache wanaolalamika acheni wivu wa kike

Kama vikundi vya sanaa tu huwa wanapewa bendera za nchi sasa diamond ana kosa lipi au hana haki ipi ili asipewe
 


utoto gan sasa hapo kafanya mkubwa fella au nn kibaya kaandike hapo

Achana na habari za bendera hapa nimefurahi kuona uyu ndio meneja sasa katoa ufafanuzi [emoji23][emoji23][emoji23] kwani bendera bei gani mbona wale wahuni wa BBA tumewapa wakafanyie ufirauni wao mara kibao ambacho kiko wazi ni wehu wa wizara kwenye soka ambayo ni hoja kuu tumeshindwa kupeleka timu alafu mtu anaenda kwenye harakati zake binafsi tumekomaa kama muwakilishi wetu ni aibu ingekua tamasha la muziki sio kesi kabisa alafu tujiulize majirani zetu vipi au wehu huu tumefanya sisi tu.
 
Hajaandika utoto kama alivyosema Rutashobolwa, labda amkosoe kwa uandishi mbovu but sio content ya andiko
Sioni kaandika nini kibaya. Ujumbe wake umefika vema kabisa. Naamini ameeleweka kuliko hata riziwan.
 


utoto gan sasa hapo kafanya mkubwa fella au nn kibaya kaandike hapo
Ushabiki ukizidi unakuwa zuzu team kibakuli wapi radhi kuonana domo akipondwa ila yeye akirudisha au mmoja wa mameneja wake akilitolea ufafanuzi unakuwa ni utoto yaani mpk nahisi hawajielewi siku iz awa mashabiki wa bushman
 
Unajua kipindi atakapotaka kutumbuiza atatambulishwaje kwenye stage au nn maana ya kuliwakilisha taifa ebu tueleweshe ww unaejua maana maandishi meng lkn 0 content
 
Nchi hii imejaa liwa mambo ya ajabu.
 
Hawezi kupewa bendera msilazimishe makosa. Labda aje msemaji wa ikulu au protocali wa serikali kueleza hili jambo.
Diamond amepewa nafasi hio kwa malipo. Amealikwa kutumbuza sio kuiwakilisha Taifa katika kutumbuiza...amealikwa kibinafsi kama msanii.
Sio kweli kila mtu anapewa kama anavo sema huyu Basata. Wamekosea wakubali makosa pale hakuna bendera ya tanzania itapeperushwa tusidanganyane....
 
Hata angepewa Bendera na Rais
Bado ipo sawatu
Diamond ndio msanii pekee anaye tuweka kifua mbele kimataifa
Sioni ajabu kukabidhiwa bendera
Watu waache chuki
 
Riziwani amesema ukweli bila kupepesa naye ameanza kujielewa, daimond kupewa bendera ni sawa ila na Hao tsifa stars walipaswa wawepo kwenye kukabidhiwa bendera
 
Ifike mahala tuache kuingiza siasa kwenye vitu ambavyo vipo wazi kbsa!
 
Naona wengine wanaicheka Taifa Stars kwa kuishambulia TFF japo hakuna anayesema tumeenda mara ngapi huko katika miaka 35 iliyopita.
Nimeona uzi hapa juu ya Millard Ayo kuwa mtangazaji wa mashindano hayo lakini sijaona anayeuliza tratibu za kumpata zilikuwaje na alishindanishwa na nani! >>>CAF yamteua Millard Ayo kuripoti moja kwa moja michauno ya AFCON2017 kutoka Uwanjani
Tusichoelwa ni kuwa wenye akili zao wako kwenye biashara na sisi tunaingia kwenye kuwafanyia promo bila hata kung'amua.
Hebu angalia hiyo picha ya kukabidhi bendera, kuna banner ya DSTV ambao nao wanadhamini mashindano hayo. Kwa hiyo lililo wazi ni DSTV wanamtumia waziri kuboost biashara zao. Kumbuka wakati Mbwana Samatta anaagwa kilichoonekana kwenye background ni nembo za serikali tu! Kwa lugha nyepesi mnadhani waziri ndiye aliorganize hii au DSTV ndio waliorganize na 'kumtumia' waziri!?

Hii ni ngoma ya DSTV katika kupenya soko la bongo hivyo tufurahie kwa staha, tusipostuka tutaendelea kutumiwa hadi mwisho wa dunia.
 
Imba na wewe tukusikie!
Kama kweli unaujua muziki tena kwa jicho la tatu. Domo anaruka ruka tu. Huwezi kumcompare na TID Grace Matata n the likes. Jiulize kwa 'levo' ambazo Team yake inamuweka ambazo hastahili kabisa, kwanini hana band mpaka sasa. At least katika show fulani fulani afanye kitu tofauti.
Angalia acha kutazama.
 
Fella hajui kuandika. Manager wa Diamond. Ndiyo maana aliamua kumtafuta SK vinginevyo angekuwa bado hajatoka kimataifa
 
Hater!!
 
Fella hajui kuandika. Manager wa Diamond. Ndiyo maana aliamua kumtafuta SK vinginevyo angekuwa bado hajatoka kimataifa

Ungetoka ww kwakua boss wako anajua kuandika sana.
 

Kabisa diamond anawakilisha DSTv wahindi wamwache za akili matangazo Yao wanatupia nchi watanzania amkeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…