BASATA: Diamond amestahili kukabidhiwa bendera ya Taifa kwa ajili ya show ya ufunguzi wa AFCON 2017

BASATA: Diamond amestahili kukabidhiwa bendera ya Taifa kwa ajili ya show ya ufunguzi wa AFCON 2017

Post ya Ridhiwan ndio ya kipuuzi. Imeonyesha dharau na kejeli kwa wanamziki. Hata kama alitaka kuwachallenge TFF si kwa staili ile. Kaonyesha dharau kubwa kwa Diamond Platinumz.

Diamond ndio nani??
 
Naona ili jambo limekuzwa na watu ambao kwa makusudi hawakutaka kumuelewa Ridhiwani Kikwete....
Ridhiwani kikwete aliandika vile kuwa challange TFF kuhusu Taifa stars..maana ingependeza kama Taifa stars wangelikuwa nao ni wamoja wanao kabidhiwa bendera ya Taifa kama ilikuwa kwa Diamond jana...

Pia nimesikitishwa jinsi Babu tale na Mkubwa Fella walivyo react kiasi kwamba wamekuwa kama watoto vile yani kama vile Ridhiwani ana muonea wivu Diamond...Ni vyema Mameneja wakawa si wepesi wakudandia na kupost mambo kabla ya kutafakari na si lazima kila jambo lazima Meneja uliongelee.... kwakweli nimekuwa disapointed sana na utoto wa Babu Tale na Fella.... Sioni sababu ya Ridhiwani kumuonea wivu Diamond.
Ccm wenzio wanakuvuruga eeh?
 
4130c5ed0198afab099cdc83936e60b9.jpg


utoto gan sasa hapo kafanya mkubwa fella au nn kibaya kaandike hapo
Mkubwa fella nae akajifunze kuandika, meneja mzima kuandika hovyo
 
Back
Top Bottom