muzikihivi watanzania mna nini cha kujivunia au kitu gani cha kuwatanganza kama taifa??!!! ukiachana na matusi mnayotukana kwenye pages za watu mitandaoni mna nini kingine cha kuwatangaza kama taifa??!!!! acheni upumbavu ninyi!!
kila kitu kakikuta uanategemea atakuwa naakili tmamuMkuu post ya Ridhiwan ni ya kijinga na iliyojaa dharau na kejeli. Alikuwa na namna nyingi nzuri tu za kuwachallenge TFF na si kama alivyofanya.
Hata ww ukita unapewaAna vgezo gani vya kukabidhiwa bendera ya taifa
Kama kweli unaujua muziki tena kwa jicho la tatu. Domo anaruka ruka tu. Huwezi kumcompare na TID Grace Matata n the likes. Jiulize kwa 'levo' ambazo Team yake inamuweka ambazo hastahili kabisa, kwanini hana band mpaka sasa. At least katika show fulani fulani afanye kitu tofauti.
Angalia acha kutazama.
Post ya Ridhiwan ndio ya kipuuzi. Imeonyesha dharau na kejeli kwa wanamziki. Hata kama alitaka kuwachallenge TFF si kwa staili ile. Kaonyesha dharau kubwa kwa Diamond Platinumz.
huyu ni Said Fella?Labda hiyo....ameitwa kuwakilisha nchi.....
Nadhan amepata dili la show
huyu ni Said Fella?
kiswahili gani hicho kaongea?
Kabla ya hii alipost post inayo onesha kama watu wanamchukia diamond na alianza Babu tale.. hii ni post ya pili nadhani baada ya kumuelewa Ridhiwani......
utoto gan sasa hapo kafanya mkubwa fella au nn kibaya kaandike hapo
Hivi nyie nani kawaroga kwa hiyo bendera ni kwaajili ya wacheza mpira pekee au
Muelewe akiboronha pale katika uzinduzi itakua ngumu kwa mtanzania yeyote kupata nafasi ya kuperfom kwenye issue kama zile
Akifanya vizuri basi watanzania watakua n chance kubwa ya kupata fursa ya kuperfom pia
Achenk majungu acha dogo akawakilishe nchi japo kwa dakika chache wanaolalamika acheni wivu wa kike
Kama vikundi vya sanaa tu huwa wanapewa bendera za nchi sasa diamond ana kosa lipi au hana haki ipi ili asipewe
kama ni hivyo mbona kuna njitu zinatoka mapovu jamaa kukabidhiwa bendera? au ndo ule utafiti watanzania wengi wamelemaa akili kutokana na lishe mbovu??muziki
wapuuz wote kwan iyo bendela nayatmu yataifa pekee altakiwa apewe hata wakat ule anaenda BETkama ni hivyo mbona kuna njitu zinatoka mapovu jamaa kukabidhiwa bendera? au ndo ule utafiti watanzania wengi wamelemaa akili kutokana na lishe mbovu??
Salama kabisaMadam habari ya asubuhi?
Salama kabisa
hahahaBasi sawa ni salamu tu mana nilikumiss mnooo
unaongelea mzigo gani?Mi naiona.hambebei kamzigo.mjeuri sana dogo.
Hujui kamzigo ka prince R au unataka tu niende kisongo.unaongelea mzigo gani?
Yani kwa maelezo yote hayo bado hujaelewa tu?? Duuuh huna kichwa kigumu.. U hve hardest oneAna vgezo gani vya kukabidhiwa bendera ya taifa
Watanzania sijui ndio elimu imetupita kando yaani mi pia nilidhani kaongea pumba kumbe kajieleza very positive wala hakutusi wala kukandia mtu ,hajafanya kosa lolote apo mkubwa fela
utoto gan sasa hapo kafanya mkubwa fella au nn kibaya kaandike hapo