Sele Mkonje JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 643 Reaction score 845 May 20, 2016 #1 msanii Belly ametoa video yake inayoitwa Zanzibar. kama kweli BASATA wanafanya kazi kihalali basi hii video haitapigwa Tz ila kama nao wanafungia tu mavideo kupata kiki kwenye media basi waiache.
msanii Belly ametoa video yake inayoitwa Zanzibar. kama kweli BASATA wanafanya kazi kihalali basi hii video haitapigwa Tz ila kama nao wanafungia tu mavideo kupata kiki kwenye media basi waiache.
yoga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2013 Posts 1,830 Reaction score 8,636 May 20, 2016 #2 hahahahahaha!! na mi ntaenda zanzibar kwa staili hii
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,898 Reaction score 14,413 May 20, 2016 #3 Chura ni malaika kwa hii
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 May 20, 2016 #4 Mmh mbona kama hapo sio bongo?
Chachu Ombara JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 6,067 Reaction score 10,938 May 20, 2016 #5 Sioni Tatizo hapo, mbona kichupa cha Mtoni alafu BASATA hawana mamlaka ya kuifungia.