BASATA fungia Zanzibar

BASATA fungia Zanzibar

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
643
Reaction score
845
msanii Belly ametoa video yake inayoitwa Zanzibar. kama kweli BASATA wanafanya kazi kihalali basi hii video haitapigwa Tz ila kama nao wanafungia tu mavideo kupata kiki kwenye media basi waiache.
 
hahahahahaha!! na mi ntaenda zanzibar kwa staili hii
 
Sioni Tatizo hapo, mbona kichupa cha Mtoni alafu BASATA hawana mamlaka ya kuifungia.
 
Back
Top Bottom