Baraza la sanaa Tanzania limekiri kwamba hawajapokea malalamiko yoyote ya Harmonize dhidi ya Wasafi na Ziiki, Katibu wa BASATA amekiri Hilo baada ya kufanyiwa mahojiano na East Africa TV ameongeza kuwa sisi tunafanyia kazi malalamiko ambayo yamewasilishwa kwenye ofisi zetu official.
Na tumetatua matatizo mengi ikiwemo pamoja wasanii killy na mwenzake walikuja hapa kumstaki Harmonize juu yakutolipwa malipo yao na Harmonize na tukawahoji pande zote na tukatoa solution ila Hilo la malalamiko ya Harmonize dhidi ya Wasafi na Ziiki hatujapokea muhusika hajaja kuwasilisha hapa.