MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Bigi yangu NeneKwani Kuna habari gani
Basata na wewe kila mmoja ana akili zake wewe umetafsiri kivyake basata kafasili kivyake na kuubariki wimboBigi yangu Nene
Bigi yangu Pana
Bigi yangu Kubwa
Bigi yangu Tamu
Kabolo si ni moyo kwa watu wanaojua lingala haiwap shida ndio maana kofii mwaka 1998 alikuja tz akaanza kuimba kuuuuma inaumma kuuumaaa inaumaa watu wakadhan ametukana kumbe maana yake roho inaumaNilikuta mke wa mtu, amefungulia mziki kwa sauti kubwa, sijui wimbo wa nani ule, unaimbwa UNA KABOLO KADOGO,mi nikaanza kuona aibu, mwenyeji wangu na mkewe wametulia tu hawana habari, daah hii miziki bhana.
Sukununu sana weweNapenda sana Mashairi yake yasemayo...
Bigi yangu Nene
Bigi yangu Pana
Bigi yangu Kubwa
Bigi yangu Tamu
Naona hata Watoto nao wameupenda.
Aah mimi sijatafsiri bali nimemjibu mdau aliyetaka kujua kuna habari ganiBasata na wewe kila mmoja ana akili zake wewe umetafsiri kivyake basata kafasili kivyake na kuubariki wimbo
Tamu!?Tatizo nini hapo?
Sawa mkuuAah mimi sijatafsiri bali nimemjibu mdau aliyetaka kujua kuna habari gani
Mzee wa shikide shikide analazimisha kubaki kwenye gameNapenda sana Mashairi yake yasemayo...
Bigi yangu Nene
Bigi yangu Pana
Bigi yangu Kubwa
Bigi yangu Tamu
Naona hata Watoto nao wameupenda.
Una kabolo kadogo,obvious hilo ni tusiKabolo si ni moyo kwa watu wanaojua lingala haiwap shida ndio maana kofii mwaka 1998 alikuja tz akaanza kuimba kuuuuma inaumma kuuumaaa inaumaa watu wakadhan ametukana kumbe maana yake roho inauma