BASATA huu Wimbo mpya wa Dully Sykes uitwao 'Bigi' mmeubariki kwa Mikono miwili kabisa?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Napenda sana Mashairi yake yasemayo...

Bigi yangu Nene
Bigi yangu Pana
Bigi yangu Kubwa
Bigi yangu Tamu

Naona hata Watoto nao wameupenda.
 
Bigi yangu Nene
Bigi yangu Pana
Bigi yangu Kubwa
Bigi yangu Tamu
Basata na wewe kila mmoja ana akili zake wewe umetafsiri kivyake basata kafasili kivyake na kuubariki wimbo
 
Nilikuta mke wa mtu, amefungulia mziki kwa sauti kubwa, sijui wimbo wa nani ule, unaimbwa UNA KABOLO KADOGO,mi nikaanza kuona aibu, mwenyeji wangu na mkewe wametulia tu hawana habari, daah hii miziki bhana.
 
Kabolo si ni moyo kwa watu wanaojua lingala haiwap shida ndio maana kofii mwaka 1998 alikuja tz akaanza kuimba kuuuuma inaumma kuuumaaa inaumaa watu wakadhan ametukana kumbe maana yake roho inauma
 
Basata na wewe kila mmoja ana akili zake wewe umetafsiri kivyake basata kafasili kivyake na kuubariki wimbo
Aah mimi sijatafsiri bali nimemjibu mdau aliyetaka kujua kuna habari gani
 
Hiyi ndio nchi ambayo watu wake wavivu kufikiri
JamiiForums390048234.jpg
 
Kabolo si ni moyo kwa watu wanaojua lingala haiwap shida ndio maana kofii mwaka 1998 alikuja tz akaanza kuimba kuuuuma inaumma kuuumaaa inaumaa watu wakadhan ametukana kumbe maana yake roho inauma
Una kabolo kadogo,obvious hilo ni tusi
 
Back
Top Bottom