BASATA inamtafuta Msanii Linah Sanga

Sometimes hawa basata ndowanaokuza mambo yani hiyo picha ingepita bila kuongelewa chochote
 
Hawa Bar-Sata wana matatizo hivi nadhani, Mbona Ndugai hajamtafuta yule Mbunge aliyepiga picha za utupu? Au kwa kuwa yeye hana neema za Allah???
 
Wakuu Taarifa Zilizopo Ni Kwamba, Baraza La Sanaa Tanzania (Basata) wanasaka Kwa Udi na Uvumba Msanii Linah Sanga Kwa Kupiga Picha Ambazo Sio Nzuri Kwenye Jamii. Je Linah Sanga amekosea Kupiga Picha Kama Hii?View attachment 1825622
Mkuu na ww unatafutwa na BASATA kwa kuweka picha kama hii kwenye public forum
 
Dada zangu mumeanza kuaibisha kabila na koo yetu,wakinga tumeanza kuwa kama wazaramo,wahaya na wanyiramba?

Nimesikitika Sana,sisi ni kabila la wachapa Kazi sio wadangaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…