Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Basata ni polisi wa maadili?
Na hiyo picha mbona haina ubaya wowote ule!
Na hiyo picha mbona haina ubaya wowote ule!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abdul Nondo mambo vipi kaka?"Wanamtafuta" kwani kajificha?
Mambo freshi.Abdul Nondo mambo vipi kaka?
Walitaka avae dera swimming pool?Wakuu Taarifa Zilizopo Ni Kwamba, Baraza La Sanaa Tanzania (Basata) wanasaka Kwa Udi na Uvumba Msanii Linah Sanga Kwa Kupiga Picha Ambazo Sio Nzuri Kwenye Jamii. Je Linah Sanga amekosea Kupiga Picha Kama Hii?View attachment 1825622
Mkuu na ww unatafutwa na BASATA kwa kuweka picha kama hii kwenye public forumWakuu Taarifa Zilizopo Ni Kwamba, Baraza La Sanaa Tanzania (Basata) wanasaka Kwa Udi na Uvumba Msanii Linah Sanga Kwa Kupiga Picha Ambazo Sio Nzuri Kwenye Jamii. Je Linah Sanga amekosea Kupiga Picha Kama Hii?View attachment 1825622
Ulitaka niweke private rum???Mkuu na ww unatafutwa na BASATA kwa kuweka picha kama hii kwenye public forum
Mbona picha makini kabisa
halafu kesho akiwa mkuu wa wilaya basata watasemaje?Basata ni polisi wa maadili?
Na hiyo picha mbona haina ubaya wowote ule!
Mchungaji Kiranga Habari Ya Kwa Biden MkuuKuna siku mtu atatafutwa na BASATA kwa kuvaa vibwaya vya ngoma za asili.