BASATA inamtafuta Msanii Linah Sanga

BASATA inamtafuta Msanii Linah Sanga

Mwacheni,lol, muda unaruhusu lol, ufike 50's ama hata 45's mwenyeewe unaanza kuvaa nguo za stara 🤣 🤣 unless ofcourse una strict diet/gym routines
 
Mimi siungani kabisa na mavazi haya kwa wanawake. Huku ni kufanya wanawake wote waonekane hawana akili..mwanaume yeyote anaesifia picha hii nina hakika kwa 100% hawezi mruhusu mke au dada ake avae hivi hadharani. Hakika wanawake tumtake mola wetu msamaha sana
 
Wakuu Taarifa Zilizopo Ni Kwamba, Baraza La Sanaa Tanzania (Basata) wanasaka Kwa Udi na Uvumba Msanii Linah Sanga Kwa Kupiga Picha Ambazo Sio Nzuri Kwenye Jamii. Je Linah Sanga amekosea Kupiga Picha Kama Hii?View attachment 1825622
Tatizo lake urefu na mbususu imekosa urojo wa kutosha lakini kwa mzigo upo wakutosha tu.
 
Back
Top Bottom