mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Hao ni producers ambao hawajitambui ndio hao wamekuwa chawa.Kuna viTu viwili...
1. Producer anatengeneza biti lake msanii anakuja anapewa aweke vocal zake ...
2. Msanii anakuwa na wimbo wake anamfuata producer amtengenezee biti la wimbo wake!
Sasa je makubaliano yapoje?
Producer ndie anasema nitatengeneza biti (sample) kwa kiasi kadhaa na kumiX na kumaster then akilipwa chake ,
Kazi inakuwa ya mwimbaji msanii,
Ndio mmiliki wa wimbo..
Labda kama huyo producer ana lebo!
Vinginevyo producer anakuwa Ameshalipwa pesa yake before hata wimbo haujasikika kwenye media,
Natamani waende nje ndipo watajua nini maana ya haki miliki, nje hamna upuuzi kama wanao fanyiwa maproducer wa bongo. Hii ni biashara inatakiwa win win kama wenzetu ulaya. Sio bongo msanii ananufaika huku aliye tengeneza biti hapati hata senti. Hata hao maproducer wachanga watawachoka kwani kadri siku zinavyo enda majukumu yana ongezeka, mwisho wa siku nao watataka kunufaika ubunifu wao.Mambo yakiwa hivyo kuna muda msanii atakua producer na hmn kitu mtawafanya ikibidi wataenda kutafuta ma producer nje ya nchi au underground na kuwafanya bora ili wafanye kazi za wasanii.
Tamaa ya kuwa juu kwa kila mtu na ya kutaka pesa huwa inaharibu nature au culture ambayo imepelekea mziki kukua na kuleta maelewano mazuri kati ya producer, msanii na menejimenti yake.
Hapo umezungumza vitu viwili ambavyo vyote producer bado ana haki.Kuna viTu viwili...