Yaani nyimbo za singeli lazima ziwe na tusi au neno ambalo publically sio zuri kusikika.
Asilimia kubwa huu ni muziki wa kipumbavu kutoka kwa jamii maskini ambayo haijastaharabika hata kidogo na isiyo na elimu..uswahili uswahili na uhuni mwingi..
Dah maskini wenzangu mnaona tunavyosemwa huku![emoji24][emoji24]Yaani nyimbo za singeli lazima ziwe na tusi au neno ambalo publically sio zuri kusikika.
Asilimia kubwa huu ni muziki wa kipumbavu kutoka kwa jamii maskini ambayo haijastaharabika hata kidogo na isiyo na elimu..uswahili uswahili na uhuni mwingi..