Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema kuanzia Februari 06, 2026 waongoza sherehe, burudani na matukio (MCs) pamoja na Manju Muziki (DJs) wote wasio na vibali halali vya BASATA hawataruhusiwa kujishughulisha na kazi hizo hapa nchini.
BASATA imesema yeyote atakayekiuka agizo hilo atatozwa faini isiyopungua Tsh. 1 Milioni au isiyozidi Tsh. 3 Milioni au kufungiwa kujishughulisha na kazi za Sanaa kwa kipindi kisichopungua miezi sita au kufungiwa maisha.
Soma zaidi