Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
sio kuongea tena ni kunena!..😅Hahaha lazima tuongee lugha moja
Kurasimisha vipi bila uwezeshwaji?Ni njia nzuri ya kurasimisha kazi.
Hapo DJ itapaswa alipwe vizuri kwakuwa analipa kodi.
Shughuli nyingi zikiwa rasmi hata malalamiko ya ajira za serikali yatapungua sana.
kila mtu lazima alipe kodi, nchi nyingi timamu lazima uichangie serikaliHahaha lazima tuongee lugha moja
Hatukatai kuchangia kodi. Tunachotaka ni:kila mtu lazima alipe kodi, nchi nyingi timamu lazima uichangie serikali
Hii ni baada ya MaDJ kufanya yaoHahaha lazima tuongee lugha moja
naunga mkono hoja mkuuHatukatai kuchangia kodi. Tunachotaka ni:
1. Mazingira wezeshi ya kufanya kazi. DJ/MC anahitaji umeme. TANESCO wanakata umeme kila siku hivyo DJ/MC atalazimika kuingia gharama ya generator na mafuta ili aganye kazi. Bei ya generator na mafuta ipo juu kwa sababu ya tozo.
2. Kodi tunayolipa inatumiwa vibaya e.g goli la mama, vacation ya viongozi no. Inauma sana kuona kodi tunayolipa inatumiwa vibaya
3. Rasilimali za taifa ni nyingi sana. Haikupaswa serikali kuwadai kodi watoto wa maskini wanaojitafuta kupitia vipaji vidogo.
Inauma sana
WANAMIPANGO YA KUCHUMA TU,,,MIPANGO WEZESHI KWA HAO WANAOCHUMA KUTOKA KWENYE KUJIAJIRI KWAO,,HAKUNA...
Serikali Haina Hela so imeamua kuwakamua wananchi wakeWanachojua wao ni kudhibiti tu, hawawazi kuwatengenezea mazingira mazuri hao ma dj na mcs kunufaika na kazi zao
Aibu sana hiiHatukatai kuchangia kodi. Tunachotaka ni:
1. Hakuna Mazingira wezeshi ya kufanya kazi. DJ/MC anahitaji umeme. TANESCO wanakata umeme kila siku hivyo DJ/MC atalazimika kuingia gharama ya generator na mafuta ili wawanye kazi. Bei ya generator na mafuta ipo juu kwa sababu ya tozo za bandarini
2. Kodi tunayolipa inatumiwa vibaya e.g goli la mama, vacation ya viongozi n.k. Inauma sana kuona kodi tunayolipa inatumiwa vibaya
3. Rasilimali za taifa ni nyingi sana. Haikupaswa serikali kuwadai kodi watoto wa maskini wanaojitafuta kupitia vipaji vidogo.