Basata mbona mnatia aibu na kuchangia kuharibu maadili?

Milazetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
300
Reaction score
270
Miaka hii wasanii hawaumizi tena vichwa kuimba nyimbo za kuelimisha wamejikita kuimba nyimbo za burudani tu lakini bado si rafiki kwa vizazi vyetu.

Wanaimba nyimbo wanachanganya wa dini na singeli ndani ya wimbo mmoja.mf Yesu nipeleke kule mbinguni"unachanganywa hii tabia inadhalilisha nyimbo za dini na dhehebu husika wanaotumia wimbo huo.Nyimbo kama hizo zilipaswa kupigwa marufuku.

Niiiahangaa waziri wa utamaduni aliposema singeli ni nyimbo rasmi ya utambulisho wa taifa ni aibu nyimbo zisizo na maadili kuwa utambulisho wa taifa.Tazama wanavyoimba na kucheza ni uhuni mtupu.
 
Al masry jau mkuu
 
Basata hawa hawa hawa ngoja nimwambie Nay wa Mitego atoe wimbo awamshe naona wamelala
 
Back
Top Bottom