Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekumbusha kuwa, kwa mujibu wa Kanuni za BASATA za mwaka 2018 na Tozo za mwaka 2025, waongoza sherehe, burudani na matukio (MC) pamoja na Manju Muziki (DJ) wanatakiwa kupata vibali vya BASATA kabla ya kufanya kazi za sanaa.
BASATA imeelekeza wahusika wote kuhakikisha wanakuwa na kibali hai ifikapo tarehe 31 Januari, 2026. Ada ya usajili ni shilingi 10,000/= na ada ya kibali ni shilingi 40,000/=, na usajili unafanyika kupitia sanaa.go.tz.