BASATA mfungieni Lady Jaydee anahamasisha uvutaji bangi hadharani

BASATA mfungieni Lady Jaydee anahamasisha uvutaji bangi hadharani

Kwanza fahamu LADY JAY DEE ni Taasisi sio mtu, pia kama unajua sanaa hakuna kosa hapo
1600586758157.png
weed ni magugu na bangi ni marijuana, Kama kataja marjuana sawa.
 
“Herb is the healing of the nation, alcohol is the destruction

Bob Marley
Screenshot_20200705-095820.jpg
 
Mtoa uzo unakosea: Embu tafakari haya

1.Jide ni msanii wa kwanza kuandika mstari unahusu bangi hapa Tanzania?

2.Mstari mmoja wa kwenye wimbo kwako ni kigezo tosha cha kumfungia msanii?...Better ungesema wimbo ufungiwe sio msanii.

Nyie ndio mnaotusumbua mkiajiriwa BASATA
 
Hata hivo its just one time😁,.. Maybe people will get their shit together😔
 
hiyo ni tafsiri yako mleta uzi, hakuna sehem yoyote lady jay dee kahamasisha bange kwenye huo mstari, wee unataka kuleta chuki zako binafsi…………………..
 
Back
Top Bottom