Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,133 Reaction score 26,766 Sep 20, 2020 #61 Punguza chuki Mwache dada wa watu
Mapank JF-Expert Member Joined Mar 8, 2011 Posts 4,130 Reaction score 6,097 Sep 20, 2020 #62 Kwanza fahamu LADY JAY DEE ni Taasisi sio mtu, pia kama unajua sanaa hakuna kosa hapo weed ni magugu na bangi ni marijuana, Kama kataja marjuana sawa.
Kwanza fahamu LADY JAY DEE ni Taasisi sio mtu, pia kama unajua sanaa hakuna kosa hapo weed ni magugu na bangi ni marijuana, Kama kataja marjuana sawa.
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 9,530 Reaction score 20,988 Sep 20, 2020 #63 “Herb is the healing of the nation, alcohol is the destruction Bob Marley
eddy brown JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 414 Reaction score 314 Sep 21, 2020 #64 Maana ya "weed" ni magugu yaliobaki kutoka kwenye mmea.
Author JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 1,715 Reaction score 8,058 Sep 22, 2020 #65 Mtoa uzo unakosea: Embu tafakari haya 1.Jide ni msanii wa kwanza kuandika mstari unahusu bangi hapa Tanzania? 2.Mstari mmoja wa kwenye wimbo kwako ni kigezo tosha cha kumfungia msanii?...Better ungesema wimbo ufungiwe sio msanii. Nyie ndio mnaotusumbua mkiajiriwa BASATA
Mtoa uzo unakosea: Embu tafakari haya 1.Jide ni msanii wa kwanza kuandika mstari unahusu bangi hapa Tanzania? 2.Mstari mmoja wa kwenye wimbo kwako ni kigezo tosha cha kumfungia msanii?...Better ungesema wimbo ufungiwe sio msanii. Nyie ndio mnaotusumbua mkiajiriwa BASATA
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 45,678 Reaction score 63,304 Sep 25, 2020 #66 uberimae fidei said: Kama tumefika uko,afungiwe na anayetaka msabwanda wa buku jero Click to expand... 😀😀😀
uberimae fidei said: Kama tumefika uko,afungiwe na anayetaka msabwanda wa buku jero Click to expand... 😀😀😀
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,710 Reaction score 76,243 Sep 25, 2020 #67 Dilek said: Nipo sana rafiki Click to expand... Karibu sana!
Rich Ommy Member Joined Jan 23, 2018 Posts 28 Reaction score 26 Sep 28, 2020 #68 Hata hivo its just one time😁,.. Maybe people will get their shit together😔
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,698 Sep 28, 2020 #69 hiyo ni tafsiri yako mleta uzi, hakuna sehem yoyote lady jay dee kahamasisha bange kwenye huo mstari, wee unataka kuleta chuki zako binafsi…………………..
hiyo ni tafsiri yako mleta uzi, hakuna sehem yoyote lady jay dee kahamasisha bange kwenye huo mstari, wee unataka kuleta chuki zako binafsi…………………..
Euroleague JF-Expert Member Joined Apr 11, 2020 Posts 515 Reaction score 1,410 Sep 29, 2020 #70 Mleta mada Chutama kidogo nikupake wese niteleze kama nyoka pangoni kama hutojali.