Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Baraza la sanaa Tanzania sijaona kazi yenu kama madudu ndo haya mnamefeli. Jaribu kujipanga upya.
Diamondplatnumz ,alikataa kushiriki tuzo zenu afu mkampa tuzo ya heshima😁 mko sawa na utendaji kazi wenu kweli.
Umeandaa Tuzo za (TMA) ila kinachoendelea mnakijua nyie sijui mmelogwa au nini mnawaza. Baada ya basata kufanya muziki wetu upate heshima nyie ndo mnafanya muziki wetu na wasanii wetu waonekane ni wapuuzi.
Hivi Diamondplatnumz na Basata nani mkubwa hapo. Tafakari.
#basataGengeLawahuni