Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Anakudhalilisha mwanamkè mwenzio
Hii inaonyesha ni aina gani ya jamii iliyopo sasa, kuna wakati huwa natilia shaka umri wa baadhi ya members humu. Yale yasiyofaa ndiyo hupewa kipaumbele zaidi, na yale ya msingi hupuuzwa. Huwa najiuliza utajisikiaje utakapoona mwanao mdogo akionyeshwa vitu kama hivi! ama ukute mwanao mdogo akiimba... Nyeg.. Ngeg..?Mkuu idadi kubwa ya watu walio reply kwenye uzi wako ni kama wamepinga wazo lako pamoja na kuwa ni zuri sana,
Usishangae sana sababu akili za binadamu wengi zina utayari mkubwa wa kupokea vitu vya kipumbavu kuliko vitu vya msingi,
Huo ni ukweli japo ni mgumu kuusikia na watu wataupinga lakini ni ukweli, mimi naunga mkono uzi wako kwa 100%,
Ndugu swala sio kumiliki simu, kuna mtu nilikua namuheshimu (mwalimu) nikakuta anamuonyesha mtoto wa miaka 4 clip moja ya jamaa wameingia kwenye uke wa tembo, kisha inaonyesha uume wa tembo ukiwa ndani alafu ana kojoa mkojo wa kiume, acha tu.
Acha wivu wa kijuma lukole a.k.a wivu wa kike.Huyu mwanadad Rosa Lee anapoelekea sasa siko kabisa anaharibu kabisa maadili ya kitanzania.
BASATA tafadharini sana huyu binti mumfungie asifanye muziki japo kwa miaka mitano angalau akili itamkaa sawa .
Yani anaboa sana mara kwa mara amekuwa mtu wa kuposti picha za nusu utupu licha ya kuonywa mara kwa mara ila bado hasikii.
Kama kweli sheria ni msumeno ,huyu binti msimkalie kimya .
View attachment 1030217View attachment 1030218
Sent using Jamii Forums mobile app
Maadili ya kitanzania ni kuwa fisadi.Wabongo tunashida sana, hayo maadili ya kitanzania sijui yameandikwa kwenye kitabu gani nami niyasome ili niyafahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimekereka mno kwa nn ajizibe kama ameamua kutuonyesha lazima Basata wamchukulie hatua tu
Sent using Jamii Forums mobile app
BASATA wao tayari wanamaeneo yao ya utovu wa nidhamu hivyo watamchukulia hatua .Mm kama mm ndio sijapenda unajiziba adhabu ni moja bora angeacha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo BASATA wamfungie kwa kujiziba!! Hivi hii sayari itafika kweli dereva wake ni Chizi
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha haMi ananikera tu anaposema
"Acheni za kisede"
"Mmekalia makede" kikwetu kede ni pu.mbu na anafahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa hawajakutana na mama zetu huku uswahilini ananyonyesha kayatoa yote ananyonyesha huku anafua.Muache uchi uko wapi hapo
Huu ungese, mm nilikuwa nimeshaandaa sabuniHapo nyeti iko wapi buzo wewe
Mimi nimefungua uzi haraka kuona nyeti wewe unakuja nionesha hayo madude ya kupigania ngumi
Tunaharibiana wikend buzo wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app