BASATA mpo wapi???? Rosa Lee anatuonesha sana nyeti zake.

BASATA mpo wapi???? Rosa Lee anatuonesha sana nyeti zake.

Mkuu idadi kubwa ya watu walio reply kwenye uzi wako ni kama wamepinga wazo lako pamoja na kuwa ni zuri sana,
Usishangae sana sababu akili za binadamu wengi zina utayari mkubwa wa kupokea vitu vya kipumbavu kuliko vitu vya msingi,
Huo ni ukweli japo ni mgumu kuusikia na watu wataupinga lakini ni ukweli, mimi naunga mkono uzi wako kwa 100%,
Hii inaonyesha ni aina gani ya jamii iliyopo sasa, kuna wakati huwa natilia shaka umri wa baadhi ya members humu. Yale yasiyofaa ndiyo hupewa kipaumbele zaidi, na yale ya msingi hupuuzwa. Huwa najiuliza utajisikiaje utakapoona mwanao mdogo akionyeshwa vitu kama hivi! ama ukute mwanao mdogo akiimba... Nyeg.. Ngeg..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watoto hawapaswi kumiliki smartphone nao ni makosa pia!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu swala sio kumiliki simu, kuna mtu nilikua namuheshimu (mwalimu) nikakuta anamuonyesha mtoto wa miaka 4 clip moja ya jamaa wameingia kwenye uke wa tembo, kisha inaonyesha uume wa tembo ukiwa ndani alafu ana kojoa mkojo wa kiume, acha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si afungiwe post picha... Huo muziki wake unahusiana nn na hizo picha??
 
Huyu mwanadad Rosa Lee anapoelekea sasa siko kabisa anaharibu kabisa maadili ya kitanzania.

BASATA tafadharini sana huyu binti mumfungie asifanye muziki japo kwa miaka mitano angalau akili itamkaa sawa .

Yani anaboa sana mara kwa mara amekuwa mtu wa kuposti picha za nusu utupu licha ya kuonywa mara kwa mara ila bado hasikii.

Kama kweli sheria ni msumeno ,huyu binti msimkalie kimya .

View attachment 1030217View attachment 1030218

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wivu wa kijuma lukole a.k.a wivu wa kike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakayeona alipokaa uchi Rosee anioneshe labda miwani yangu imekufa lenzi.
 
Back
Top Bottom