BASATA mpo wapi???? Rosa Lee anatuonesha sana nyeti zake.

Acha wehu wewe ..nyeti hapo ziko Wapi kenge wewe... Mwache Rossa ree mtoto wa kichaga atupagawishe. Maisha yenyewe bongo yashakua msoto ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mwanadad Rosa Lee anapoelekea sasa siko kabisa anaharibu kabisa maadili ya kitanzania.

BASATA tafadharini sana huyu binti mumfungie asifanye muziki japo kwa miaka mitano angalau akili itamkaa sawa .

Yani anaboa sana mara kwa mara amekuwa mtu wa kuposti picha za nusu utupu licha ya kuonywa mara kwa mara ila bado hasikii.

Kama kweli sheria ni msumeno ,huyu binti msimkalie kimya .

View attachment 1030217View attachment 1030218

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni katamu
 
Unajua maana ya "nyeti"?? Ushaona hao dada zako wanavyiachia wazi manyonyo yao kifuani? Wafungiwe kwanza hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu si pozi la kibondia hilo?! Kama jamaa yako Floyd Mayweather!
 
Back
Top Bottom