Huwezi kujifunza bila kuanguka, ndiyo anajifunza vizuri, tusipige vita sana uwekezaji wake maana unalipa kodi na kuwalisha baadhi ya watanzania, tusiweke chuki sana kwenye uwekezaji wake bali kumuonyesha anapoangukaDiamond anguko lake liko karibu. Ni kosa sana kufanya kazi bila professionalism.
Ujanja ujanja huwa haudumu sana kwenye kazi kama hizi.
Unforgetable
Hivi hii ilikuwa live show sio? Sasa Gigy kapanda jukwaani ghafla kavua gauni hata ingekuwa TBC wangeweza kukata matangazo ghafla au huyo Gigy aliendelea kuimba uchi show nzima?Diamond anguko lake liko karibu. Ni kosa sana kufanya kazi bila professionalism.
Ujanja ujanja huwa haudumu sana kwenye kazi kama hizi.
Unforgetable
Wangekata..mbona kwenye vyombo vya nje vinavyoungana na media za bongo huwa kuna live censorship?..Lissu alikuwa akianza kutema tu cheche wanakata.Hivi hii ilikuwa live show sio? Sasa Gigy kapanda jukwaani ghafla kavua gauni hata ingekuwa TBC wangeweza kukata matangazo ghafla au huyo Gigy aliendelea kuimba uchi show nzima?
Diamond Yeye ni Level nyingine.angeachana na hawa wasichana wa Uwanja wa Fisi akachukue level zake kama kina Mimi Mars na Maua Sama. Huyu Gift hata akiongea ni Utadhani ni Chokoraa.Diamond anguko lake liko karibu. Ni kosa sana kufanya kazi bila professionalism.
Ujanja ujanja huwa haudumu sana kwenye kazi kama hizi.
Unforgetable
Vyombo vya nje ni rahisi kama kuzima TvWangekata..mbona kwenye vyombo vya nje vinavyoungana na media za bongo huwa kuna live censorship?..Lissu alikuwa akianza kutema tu cheche wanakata.
Umeaharibu kuweka hilo neno "nyundo" bora hata ungeweka "mpini" badala ya "nyundo"Gigy mavazi yake hayana maadili, wamgonge tu nyundo
Hata hawa wanaweza,si wanazima tu hiyo live na kuweka content nyingine mfano matangazo ya biashara n.k..mbona easy sanaVyombo vya nje ni rahisi kama kuzima Tv