BASATA, TCRA kwanini hamjafungia nyimbo za WEUSI?

Hahaha
Eti dude, kwani dude si ugomvi au kuna maana nyingine
 
Huo wimbo umetoka mwaka gani mkuu? Mpaka wengine tushausahau hata kwenye vigodoro haukumbukwi
 
Usiwe unaaharibu lugha sema WIMBO WA...au NYIMBO ZA..... hapo kuna wingi na umoja
 
Tatizo ni ilimu dunia ya uchambuzi wa fasihi simulizi.Bongo fleva mashairi yao yapo wazi sana.
 
Tofauti ya weusi na wasanii wengine ktk uandishi ni matumizi mazuri ya lugha za kisanaa na tafswida sio wengine wanabwaga tu manyanga hata watoto wanaelewa but kumwelewa mweusi lazima uwe mtu mzima tena up to dates
 
Huyu ndiyo joh makini wa stim zimelipiwa,amelisoma soko
 
Wasanii wetu wanaimba matusi sana, hii imenifanya simu yangu ijae zilipendwa na nyimbo za akina mj.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…