Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo wimbo umetoka mwaka gani mkuu? Mpaka wengine tushausahau hata kwenye vigodoro haukumbukwiUlishawahi kusikia watoto wanaimba na kudhalilisha watu na hizo nyimbo za weusi?
Mimi nina ushahidi kuona mama mmoja mwenye makalio makubwa akipita na wanae halafu watoto wanaanza kuita churaa anaruka ruka!Watoto tena wa kiume ilikuwa aibu sana na mmoja wao aliamua kurudi ili amsulubu mmoja wa watoto hao ila baadhi ya watu wakasihi hekma itumike.
Ila watu walilaani sana wimbo huo wa chura.
Haaa haaa! Wewe utakua mpiga chabo sio bure,umeyajuaje?Hayo mambo ya uani kuna baadhi ya wakuu wa mikoa wanayo, kwahiyo hilo sio tatizo.