BASATA: Tunamtafuta Ben Pol atueleze kuhusu zile picha za nusu utupu

BASATA: Tunamtafuta Ben Pol atueleze kuhusu zile picha za nusu utupu

apana mkuu uwez fananisha mwanamke na mwanaume wakikaa uchi sio utamadun we2 huo wa kukaa uchi mwanamke ata akikaa uchi si mbaya 7bu anatamanisha wa2 wamjaze sasa mwanaume ukikaa uchi inamana naww unataka ujazwe ?
 
Mwacheni bhana anatafuta soko. Maisha yenyewe magumu hivi (JAZA UJAZWE)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jana niliwapigia simu tigo kuwaambia hiyo Jaza Ujazwe na nimewapiga marufuku sitaki kusikia kwenye simu yangu....kauli gani hizo zina utata
 
kibakuli nae alivaa skirt, atafuywe aseme alikusudia nini kufanya vile!
 
Hawa jamaa nao wameishiwa kazi, kesho watamtafuta kiba kwa kuvaa sketi, zile picha wawatafute wataalam wa picha wawape ujumbe, mbona wasimtafute Giggy kwenye ile video na msando kuna mahali kavaa gauni bila chupi, au uchi wa kiume ni marufuku ila wa kike ni wa kuanikwa?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jana niliwapigia simu tigo kuwaambia hiyo Jaza Ujazwe na nimewapiga marufuku sitaki kusikia kwenye simu yangu....kauli gani hizo zina utata
walikujibu vipi??? maana na mimi nataka niwapigie.
 
kuna utupu gani pale ulioonekana???

hawawaoni kina giggy na amber lulu wanavyokaa uchi live
 
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania, BASATA, Godfrey Mngereza amelaani picha za nusu za utupu za msanii wa muziki, Ben Pol ambazo imezua tafrani kubwa kwenye mitandao ya kijamii.

Akiongea na Bongo5 Jumatatu hii, Mngereza amewataka wasanii kufanya kazi nzuri ambazo zinaweza kuwaweka sehemu nzuri na siyo kutengeneza mazingira ambayo yanautia dosari muziki wao.

“Sisi kama BASATA tumeona hizo picha mtandaoni, siyo kitu kizuri, kwanza hakiendani na tamaduni zetu. Kwahiyo sisi tunamtafuta Ben Pol halafu tumsikilize, atueleze zile picha ilikuwaje mpaka zikasambaa mitandaoni. Tukiongea naye tunaweza kutoa kauli yoyote na kulaani matukio ya namna hiyo,”

Aliongeza,” Pia naungana na wasanii waliolaani kitendo hiko ambacho ni cha ajabu sana na baraza kwa mamlaka yake kama mzazi haiwezi kukaa kimya lazima tujue kama ana tatizo la akili au maadili limemkumba Ben Pol.”

Pia Mngereza amewaomba wasanii wa Tanzania kwa upande wa muziki wafanye muziki mzuri wasitegemee kiki.

Chanzo: Bongo5

Mimi ninachojua Msanii Ben Paul alikuwa anatutangazia Biashara sisi Team Vunja Mayai na tunashukuru kuwa at least sasa tumeshajua Soko lipo wapi baada ya wenye hiyo Biashara muda mrefu pale Magomeni Mapipa kwa Macheni kustaafu rasmi. Mtoto kanona sana hakyanani!
 
Mkuu unataka pakua kisamvu cha kopo kwa kijana?
 
Back
Top Bottom