Aisee yule mmakonde alikuwa hatari bwana.
Leo na hii mvua ya tangu jana usiku nikaona ngoja nijisikilizie nyimbo zetu za utuvu ndipo nikakutana na hii kitu 'Sanura' kutoka kwa huyu Tongolanga, aisee! Hiki kibao acha kabisa, kinavuta hisia balaa, unaweza kujikuta umekumbatiana tu na mpenzi wako wiki nzima.
Sikutegemea mtu yule aliyependelea sana kuimba kwa lugha yake kutoa kitu bomba namna hii kwa kiswahili safi; ala zimetulia, yaani ukiusikiliza ni kuburudika tu.
BASATA tafadhali mpeni tuzo huyu mwamba aisee, kama nyimbo bora ya mahaba.
Nawasilisha.