BASATA wamempongeza Diamond kuteuliwa kushiriki tuzo za BET

BASATA wamempongeza Diamond kuteuliwa kushiriki tuzo za BET

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Naona Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), wametoa tamko la kumpongeza msanii Diamond kwa kuteuliwa kushirika katika hiyo tuzo na kusema iwapo atashinda, basi yatakuwa mafanikio ya nchi nzima.

Cha kushangaza katika tamko lao ni kuweka picha ya Diamond katika hilo tamko na sijui kama ni sahihi kufanya hivyo.

Lingine la kushangaza ni kudai eti akishinda itakuwa ni moja ya mbinu ya kuvuta wawekezaji humu nchini na kukuza uchumi.

1622782613293.png
 
Naona Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), wametoa tamko la kumpongeza msanii Diamond kwa kuteuliwa kushirika katika hiyo tuzo na kusema iwapo atashinda, basi yatakuwa mafanikio ya nchi nzima.

Cha kushangaza katika tamko lao ni kuweka picha ya Diamond katika hilo tamko na siju kama ni sahihi kufanya hivyo.

Lingine la kushangaza ni kudai eti akishinda itakuwa ni moja ya mbinu ya kuvuta wawekezaji humu nchini na kukuza uchumi.
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
IMG-20210603-WA0002.jpg
 
We kwako muwekezaji ni wa kiwanda cha kuuza juice tu?

Afu ndo wapiga zeze wa CDM!!
Si bure ndo Mana mnavutwa tu kama tela
 
Siasa tu, kila kitu siasa, wetu wanakalia tu politic tu.
 
Yap tunasubiri Tamko la mama , yeye amesema atamsupport mhuni mwenye bongo fleva yake mfukoni
 
Saaafi sana Basata, haya ndio mambo sasa, akitajwa Diamond huko ujue imetajwa Tanzania
 
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.View attachment 1807344
Risasi alizopigwa Lissu zimeleta tabu kwenye mwili wake na afya yake ya akili
 
Back
Top Bottom