BASATA wamempongeza Diamond kuteuliwa kushiriki tuzo za BET

BASATA wamempongeza Diamond kuteuliwa kushiriki tuzo za BET

Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.View attachment 1807344
NIPO PAMOJA NA Lisu KWENYE MENGINE... hili la Diamond SIUNGANI NAYE KWENYE KUMPINGA
 
Naona Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), wametoa tamko la kumpongeza msanii Diamond kwa kuteuliwa kushirika katika hiyo tuzo na kusema iwapo atashinda, basi yatakuwa mafanikio ya nchi nzima.

Cha kushangaza katika tamko lao ni kuweka picha ya Diamond katika hilo tamko na sijui kama ni sahihi kufanya hivyo.

Lingine la kushangaza ni kudai eti akishinda itakuwa ni moja ya mbinu ya kuvuta wawekezaji humu nchini na kukuza uchumi.

Kosa lao ni Nini??,Je sheria hairuhusu au ni Mapenzi yako tu??.
 
Back
Top Bottom