Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwa mujibu wa Kanuni ya 18 (1) na (2) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, Tangazo la Serikali Na. 137 la Tarehe 22 Mei, 2026 linapa Mamlaka Baraza la Sanaa la Taifa kurasimisha Wasanii na Wadau wa Sanaa pamoja na kutoa vibali vya kufanya shughuli zote za Sanaa hapa nchini.
Ifuatayo ni orodha ya Wasanii na Wadau wa Sanaa ambao vibali vyao vya kufanya shughuli za Sanaa vimeisha muda wake hivyo hawapaswi kujishughulisha kwa namna yoyote ile na kazi za Sanaa.
Hivyo basi, BASATA inawataka wote waliotajwa kwenye orodha iliyoambatishwa kuhakikisha wanahuisha vibali vyao ifikapo au kabla ya Tarehe 03 Septemba, 2026. Ikumbukwe kwamba kufanya shughuli za Sanaa bila kusajiliwa na kupewa kibali cha BASATA ni kosa kisheria na adhabu yake ni kutozwa faini isiyopungua Tsh. 1,000,000/= (Milioni Moja) na isiyozidi Tsh. 10,000,000/= (Milioni Kumi) kwa mujibu wa Kanuni ya 45 ya Kanuni za Baraza.