BASATA waufungie wimbo wa Albert Mangwea

"najua hamwezi kwenda haja ndogo mmesimama,
lakini mnaweza fanya kila kitu tunafanya"
wewe ndio ulimwelewa vibaya ila hakuimba uinga unaouwaza
Ni kweli hawakumwelewa,wamekuwa speed kuhukumu kama wajinga
 
Hiyo ni lugha ya kisanii.. ni kweli mwanamke phyphysically hana nguvu kama Me laikini yuko na nguvu yake ambayo Me hana so hajakosea tatizo liko kwako mpokeaji
 
wa kumshangaa Zaidi kwenye huu wimbo na huyu mwanamama lady JD, kwa jinsi alivyo shirikiana na wahuni kwenye kuwananga ma dem wenzaake
 
Mkuu Paskali, heshima yako.
 
Sasa hapo ukakasi uko wapi??
Kwani mnakojoa mkiwa mmesimama??
 
.....nikiwa church [emoji777]

.....mkiwa wachache [emoji736]
 
KWanini mnataka Kukojoa Huku mmsesimama??? Mtume Muhamad alisema watu wote Mpaka wanaume inapaswa wakojoe Kwa kuchuchumaa
Wanaume wafuasi wa mtume ni wabishi sana. Nilitegemea kumwona sheikh aikifunua kanzu na kuchutama ili atimize agizo hilo
 
Kwamba kufungia nyimbo tu ndio kitu pekee ambacho mnaona mnaweza kuishauri BASATA? Au kwakuwa wenyewe wametuzoesha hivyo kuwa wapo kwa ajili ya kufungia nyimbo tu!?....Kwanini usiwashauri BASATA wafanye congromate na makampuni makubwa ya muziki na sanaa kwa ujumla duniani kama Universal Music,Sony ATV,Warner Bros,Marvels na mengineyo!?? Au kwanini msiwashauri wafanye mengineyo ambayo ni muhimu kwa sanaa ya Tz?!
 
Chizi [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…