BASATA waufungie wimbo wa Albert Mangwea

"najua hamwezi kwenda haja ndogo mmesimama,
lakini mnaweza fanya kila kitu tunafanya"
wewe ndio ulimwelewa vibaya ila hakuimba uinga unaouwaza
Ni kweli hawakumwelewa,wamekuwa speed kuhukumu kama wajinga
 
Wimbo wenyewe unaitwa Sikiliza na marehemu Ngwair ndiye aliyekuwa Mastermind. Aliwashirikisha wasanii Lady Jay Dee na Mwana FA.

Japokuwa Ngwair alishatangulia mbele za haki ila kwenye huo wimbo Kuna kipande ambacho Ngwair mwenyewe ndo alikiimba na kinatia kinyaa Sana mixer kuwaibisha wanawake wote kwa ujumla.

Juzi Kati nilipita sehemu fulani hivi ya sherehe ambayo ilikuwa imesheheni wanawake kibao na DJ alikuwa anacheza Hilo songi.

Kuna kipande Ngwair aliimba eti " Najua hamuezi enda haha ndogo mkiwa mmesimama"[emoji848]
Hiki kipande kiliwafanya wanawake wote waliokuwa pale waibike Sana na walimsihi DJ aupige chini Mara Moja aweke dude jingine.

Kiukweli hicho kipande Cha Ngwair kinatia kinyaa Sana.Yaani kinawaibisha akina mama,dada na wake zetu.Japo asilimia kubwa ya wimbo wenyewe imebeba ujumbe mzuri hasa kwa wanawake( kuwasihi wanawake wawe wachapa kazi na wasijirahisishe kwa wanaume).

Ila hicho kipande Cha Ngwair kiliharibu ladha ya wimbo kwahyo ombi langu kwa BASATA Ni kwamba waufungie tu ili kulinda maadili ya jamii hasa heshima kwa wanawake.
Hiyo ni lugha ya kisanii.. ni kweli mwanamke phyphysically hana nguvu kama Me laikini yuko na nguvu yake ambayo Me hana so hajakosea tatizo liko kwako mpokeaji
 
wa kumshangaa Zaidi kwenye huu wimbo na huyu mwanamama lady JD, kwa jinsi alivyo shirikiana na wahuni kwenye kuwananga ma dem wenzaake
 
Huu ni moja ya nyimbo zenye ujumbe mzuri sana kwa dada zetu, na mtari huo hauna tatizo lolote, kwasababu it's a fact kwa heshima ya Wanawake kwa maumbile yao hawawezi kwenda haja huku wamesimama.

Kwa vile sio wote wana uwezo wa kusikiliza, naomba niwawekee baadhi ya quotes kali kabisa za wimbo huu zenye ujumbe mzito
vifupi ni JD -Jide, FA- Mwana FA, AM- Albert Mangweir

Chorus -
JD "kama ni demu sikiliza,
FA- "nisilkiize mi"
JD -"kama una swali uliza"
FA- " niulize mi"
JD - "hata kabla sijamaliza...haha, sikiliza"
Somo: wanawafundisha mademu kusikiliza na kama wana maswali waulize. Hii ni kuwajengea dada zetu confidence na kuwa empower to ask. Ukimtokea demu wa kijijini ana nyamaza, anakula kucha, anachuma majani na haulizi kitu hadi unaweza kuchinja pale pale!. Wadada wa kisasa wamefundishwa kusema no!.

Versi 1 Anaingia Mzee Mzima mwenyewe Ngweir
"You Enyi mademu, sikilizeni kwa makini, Mimi hivi kwanini mnakuwa hamjiamini?,
Mnajua nyinyi mna nguvu zaidi ya sisi, demu kwa mwanaume ni kama mfupa kwa fisi, sina nia ya kubadili maadili, ninachopinga ni nyie kushikwa masikio, hamjui umuhimu wenu, sema leo nitawaambia ila iwe siri yenu.
Mi mwenyewe naenda club kila wiki, haina maana nafata tuu muziki, nikiwa church napaona hapalipi hata niwe na hela vipi na lundo la marafiki,
Vijijini asilimia 90, ni masikini, starehe yao ni pombe na nyinyi,
sasa mpaka lini mtakuwa mnanyanyasika na kudharaulika?, au wenyewe mmeridhika?.
Kuolewa mna haki wala msiite bahati, we unadhani mwanangu nitalea na nani?.
Sema tuu wengi wenu ni vicheche, japo sio moto, na hakuna asiyeogopa cheche"

Chorus....

inaendelea...
P
Mkuu Paskali, heshima yako.
 
Sasa hapo ukakasi uko wapi??
Kwani mnakojoa mkiwa mmesimama??
 
.....nikiwa church [emoji777]

.....mkiwa wachache [emoji736]
 
KWanini mnataka Kukojoa Huku mmsesimama??? Mtume Muhamad alisema watu wote Mpaka wanaume inapaswa wakojoe Kwa kuchuchumaa
Wanaume wafuasi wa mtume ni wabishi sana. Nilitegemea kumwona sheikh aikifunua kanzu na kuchutama ili atimize agizo hilo
 
Wimbo wenyewe unaitwa Sikiliza na marehemu Ngwair ndiye aliyekuwa Mastermind. Aliwashirikisha wasanii Lady Jay Dee na Mwana FA.

Japokuwa Ngwair alishatangulia mbele za haki ila kwenye huo wimbo Kuna kipande ambacho Ngwair mwenyewe ndo alikiimba na kinatia kinyaa Sana mixer kuwaibisha wanawake wote kwa ujumla.

Juzi Kati nilipita sehemu fulani hivi ya sherehe ambayo ilikuwa imesheheni wanawake kibao na DJ alikuwa anacheza Hilo songi.

Kuna kipande Ngwair aliimba eti " Najua hamuezi enda haha ndogo mkiwa mmesimama"[emoji848]
Hiki kipande kiliwafanya wanawake wote waliokuwa pale waibike Sana na walimsihi DJ aupige chini Mara Moja aweke dude jingine.

Kiukweli hicho kipande Cha Ngwair kinatia kinyaa Sana.Yaani kinawaibisha akina mama,dada na wake zetu.Japo asilimia kubwa ya wimbo wenyewe imebeba ujumbe mzuri hasa kwa wanawake( kuwasihi wanawake wawe wachapa kazi na wasijirahisishe kwa wanaume).

Ila hicho kipande Cha Ngwair kiliharibu ladha ya wimbo kwahyo ombi langu kwa BASATA Ni kwamba waufungie tu ili kulinda maadili ya jamii hasa heshima kwa wanawake.
Kwamba kufungia nyimbo tu ndio kitu pekee ambacho mnaona mnaweza kuishauri BASATA? Au kwakuwa wenyewe wametuzoesha hivyo kuwa wapo kwa ajili ya kufungia nyimbo tu!?....Kwanini usiwashauri BASATA wafanye congromate na makampuni makubwa ya muziki na sanaa kwa ujumla duniani kama Universal Music,Sony ATV,Warner Bros,Marvels na mengineyo!?? Au kwanini msiwashauri wafanye mengineyo ambayo ni muhimu kwa sanaa ya Tz?!
 
Chizi [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom