Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Wimbo wenyewe unaitwa Sikiliza na marehemu Ngwair ndiye aliyekuwa Mastermind. Aliwashirikisha wasanii Lady Jay Dee na Mwana FA.
Japokuwa Ngwair alishatangulia mbele za haki ila kwenye huo wimbo Kuna kipande ambacho Ngwair mwenyewe ndo alikiimba na kinatia kinyaa Sana mixer kuwaibisha wanawake wote kwa ujumla.
Juzi Kati nilipita sehemu fulani hivi ya sherehe ambayo ilikuwa imesheheni wanawake kibao na DJ alikuwa anacheza Hilo songi.
Kuna kipande Ngwair aliimba eti " Najua hamuezi enda haha ndogo mkiwa mmesimama"[emoji848]
Hiki kipande kiliwafanya wanawake wote waliokuwa pale waibike Sana na walimsihi DJ aupige chini Mara Moja aweke dude jingine.
Kiukweli hicho kipande Cha Ngwair kinatia kinyaa Sana.Yaani kinawaibisha akina mama,dada na wake zetu.Japo asilimia kubwa ya wimbo wenyewe imebeba ujumbe mzuri hasa kwa wanawake( kuwasihi wanawake wawe wachapa kazi na wasijirahisishe kwa wanaume).
Ila hicho kipande Cha Ngwair kiliharibu ladha ya wimbo kwahyo ombi langu kwa BASATA Ni kwamba waufungie tu ili kulinda maadili ya jamii hasa heshima kwa wanawake.