BASATA yalaani vitendo alivyofanyiwa msanii Zuchu jukwaani

Didododi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2023
Posts
347
Reaction score
465
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelaani vikali kitendo alichofanyiwa Mwimbaji wa Bongo Flava, Zuhura Othman Soud cha Mashabiki kumtupia vitu jukwani katika Tamasha la Wasafi Festival lililofanyika Septemba 28, 2024 Mkoani Mbeya.

Katika taarifa yake kwa Umma, BASATA imetoa rai kwa Wadau wa Sanaa na Wasanii kuheshimu misingi ya kiungwana ili kuepusha migongano isiyokua na tija na kuwataka pia Waandaaji wa matukio ya Muziki kuzingatia mazingira salama kwa Wasanii na Wadau wake katika matamasha ya Muziki.

“Baraza la Sanaa la Taifa linalaani tukio lililovuruga utumbuizaji kwa Mwanamuziki Zuhura Othman Soud (Zuchu) baada ya kutupiwa vitu jukwaani na Mashabiki” - imeeleza taarifa ya BASATA.

Pia, soma: Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete, Zuchu akimbia jukwaa
 
“Baraza la Sanaa la Taifa linalaani tukio lililovuruga utumbuizaji kwa Mwanamuziki Zuhura Othman Soud (Zuchu) baada ya kutupiwa vitu jukwaani na Mashabiki” - imeeleza taarifa ya BASATA. #AyoUPDATES
Huyo malaya naye aadhibiwe kwa kuwaonesha wahuni wa Mbeya alama ya dole la kati yenye tafsiri ya upididdy.

Akome kuleta siasa zake za kisenge za mi5 tena kwa mama, watu wanataka burudani hawataki upuuzi wa siasa, hawajalipa kwenda kusikiliza kampeni, wamelipa kwenda kumuona akitwerk kitako chake kidogo kama pera chenga
 
Mara chapati, sukari eti 𝐬𝐢𝐞𝐧𝐝𝐢 𝐡𝐚𝐝𝐢 𝐝𝐞𝐦𝐮 𝐚𝐤𝐚𝐥𝐚 𝐧𝐚𝐮𝐥𝐢 𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐤𝐮𝐣𝐚....
 
mbeya salute kwao hawataki ufalafala safi kabisa
 
Yaani nilipe pesa yangu kwa ajili ya kiingilio halafu msanii unaleta habari za "mama mitano tena". Lazima chupa zikuhusu
 
Mcheza mpira akionyesha dole la kati anaweza kufungiwa au kulipa faini kwa utomvu wa nidhamu, je hao Basata wamemchukulia hatua gani huyo zuchu
 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelaani vikali kitendo alichofanyiwa Mwimbaji wa Bongo Flava, Zuhura Othman Soud cha Mashabiki kumtupia vitu jukwani katika Tamasha la Wasafi Festival lililofanyika Septemba 28, 2024 Mkoani Mbeya.

Katika taarifa yake kwa Umma, BASATA imetoa rai kwa Wadau wa Sanaa na Wasanii kuheshimu misingi ya kiungwana ili kuepusha migongano isiyokua na tija na kuwataka pia Waandaaji wa matukio ya Muziki kuzingatia mazingira salama kwa Wasanii na Wadau wake katika matamasha ya Muziki.

“Baraza la Sanaa la Taifa linalaani tukio lililovuruga utumbuizaji kwa Mwanamuziki Zuhura Othman Soud (Zuchu) baada ya kutupiwa vitu jukwaani na Mashabiki” - imeeleza taarifa ya BASATA.

Pia, soma: Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete, Zuchu akimbia jukwaa
Mimi nilifikiri BASATA wanalaani kitendo cha Zuchu kuwachokoza mashabiki kwa kuwaonyesha kidole cha kati.
Basata kumejaa wajinga kabisa.
 
Mbeya oyeee,upi diddy wenu huko huko pwani usikanyage tena mbeya
 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelaani vikali kitendo alichofanyiwa Mwimbaji wa Bongo Flava, Zuhura Othman Soud cha Mashabiki kumtupia vitu jukwani katika Tamasha la Wasafi Festival lililofanyika Septemba 28, 2024 Mkoani Mbeya.

Katika taarifa yake kwa Umma, BASATA imetoa rai kwa Wadau wa Sanaa na Wasanii kuheshimu misingi ya kiungwana ili kuepusha migongano isiyokua na tija na kuwataka pia Waandaaji wa matukio ya Muziki kuzingatia mazingira salama kwa Wasanii na Wadau wake katika matamasha ya Muziki.

“Baraza la Sanaa la Taifa linalaani tukio lililovuruga utumbuizaji kwa Mwanamuziki Zuhura Othman Soud (Zuchu) baada ya kutupiwa vitu jukwaani na Mashabiki” - imeeleza taarifa ya BASATA.

Pia, soma: Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete, Zuchu akimbia jukwaa
BASATA ingelaani wasanii kuligeuza tamasha kuwa mkutano wa kampeni ya CCM.
 
Wawafungie mashabiki kufatilia mzkki wake 😄
Kwanza nani anashida na wasanii hao

Ova
 
Huyo malaya naye aadhibiwe kwa kuwaonesha wahuni wa Mbeya alama ya dole la kati yenye tafsiri ya upididdy.

Akome kuleta siasa zake za kisenge za mi5 tena kwa mama, watu wanataka burudani hawataki upuuzi wa siasa, hawajalipa kwenda kusikiliza kampeni, wamelipa kwenda kumuona akitwerk kitako chake kidogo kama pera chenga
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom