Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa taarifa kwa umma kuhusu maamuzi yaliyotolewa dhidi ya msanii Godfrey Tumaini (Dudubaya) pamoja na Mratibu Mkuu wa Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava.
Maamuzi hayo yamefikiwa kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 19 Septemba, 2026 katika Viwanja vya General Tyre, jijini Arusha, wakati wa tamasha hilo.
Soma Pia: BASATA yamfungia Harmonize kufanya Muziki, Nandy atozwa Faini