Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mshangazi katangaza dau la 5 milioni kama dudubaya atakubali kumzagamua.Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa taarifa kwa umma kuhusu maamuzi yaliyotolewa dhidi ya msanii Godfrey Tumaini (Dudubaya) pamoja na Mratibu Mkuu wa Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava.
Maamuzi hayo yamefikiwa kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 19 Septemba, 2026 katika Viwanja vya General Tyre, jijini Arusha, wakati wa tamasha hilo.
Soma Pia: BASATA yamfungia Harmonize kufanya Muziki, Nandy atozwa Faini
Aah basataaaaπππππBaraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa taarifa kwa umma kuhusu maamuzi yaliyotolewa dhidi ya msanii Godfrey Tumaini (Dudubaya) pamoja na Mratibu Mkuu wa Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava.
Maamuzi hayo yamefikiwa kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 19 Septemba, 2026 katika Viwanja vya General Tyre, jijini Arusha, wakati wa tamasha hilo.
Soma Pia: BASATA yamfungia Harmonize kufanya Muziki, Nandy atozwa Faini
Nimechekelea mpaka gego la mwisho dadekiiiYaani hapa kama nakuona BICHWA KOMWE - unavyochekelea huko uliko. Lol.
Wizo leo utalala na viatu πΉπΉNimechekelea mpaka gego la mwisho dadekiii
MsengEe yule anataka kutuletea ushamba wake wa misungwiii.... mamaaeee zake!!
Piga kelelee woyoooo.... kelele ya kwanza kwa wizo akee... kelele ya pili kwa cocastic akeee... kelele ya tatu kwa Lamomy akee... woyoooo
Anko T kashindaa maamaeeeee... Dudubaya 0, Anko T 5.
Ahahahaaaa fita ni fita mura.Wizo leo utalala na viatu πΉπΉ
Nasubiri namba ya kumchangia MambaTutamchangia mamba.... Watcha your back.. Kuna VIONGOZI wanaliwa mataqo ndio maana hawatakibkisikia hii kampeni.