BASATA yamfutia Usajili Msanii Dudubaya kwa kukataa wito wake

BASATA yamfutia Usajili Msanii Dudubaya kwa kukataa wito wake

Dudubaya kama maisha yake yanategemea mziki 100% ahame nchi.Aende hata Burundi au Rwanda kubadili upepo.Hapa ni kama vile wameamua kumpoteza mazima!
 
Haha huyo alishajifia kimziki kitambo tu, hamna walichofanya hapo.
 
Back
Top Bottom